Majogoo wa Liverpool leo wameonesha makucha yao katika mchezo wa ligi kuu ya England baada ya kuichapa timu ngumu ya Southampton mabao 2-0.
Mabao ya Liverpool yamefungwa na Philippe Coutinho dakika ya 3 na Raheem Sterling dakika 73.
Matokeo hayo yameifanya Liverpool ipande hadi nafasi ya 6 baada ya
kufikisha point 45 nyuma ya Southampton yenye point 46 na kuiacha
Tottenham Hotspur nafasi ya 7 ikiwa na point 44.
Katika nafasi ya 4 ipo Manchester United yenye point 47 na Arsenal inashika nafasi 3 ikiwa na point 48.

Katika mechi nyingine za leo katika ligi hiyo ni
Tottenham Hotspur 2 - 2 West Ham United
Everton 2 - 2 Leicester City
Southampton 0 - 2 Liverpool
Je, Liverpool ya msimu huu itaweza kuingia Nne Bora ya England?

0 comments:
Post a Comment