Maelfu ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Argentine - Buenos Aires kupinga mateso dhidi ya mwanamke .
Maandamano
hayo yamefuatia mfulurizo wa visa vya mauaji yaliyoshtua taifa hilo ,
yakiwemo yale ya mwalimu wa chekechea ambaye bwana yake alimkata koo
mbele ya darasa lake .Vyama vya wafanyakazi , vyama vya kisiasa na kanisa katoliki wameunga mkono maandamano hayo Argentina imepitisha sheria dhidi ya unyanyasaji wa nyumbani, lanini wanaharakati wanasema kuwa hazitekelezwi ipasavyo .
Maandamano ya watu wachache pia yamefnyika katika nchi jirani za Chile na Uruguay.
0 comments:
Post a Comment