Wednesday, 3 June 2015
Cleveland Cavaliers na Golden State Warriors kumenyana leo katika fainali ya kwanza NBA
By Unknown at Wednesday, June 03, 2015
No comments
Mara ya mwisho kwa Warriors wa jiji la Oakland kushinda ilikuwa mwaka 1975, huku jiji la Cleveland likiwa halijapata ushindi tangu mwaka 1964, wakati huo Cleveland Browns waliposhinda NFL.
Wachezaji nyota LeBron James na Stephen Curry watakuwa na matumaini ya kusaidia timu zao kupata ushindi.
0 comments:
Post a Comment