
Ni imani ya kocha wa zamani wa Liverpool na Chelsea atampata Mfaransa huyo kuwa msaidizi wa Sergio Ramos katika ulinzi.
Koscielny alisaini mkataba mpya na Arsenal msimu uliopita lakini anaweza kushawishika na ofa na akaondoka Emirates na kujiunga Santiago Bernabeu.
0 comments:
Post a Comment