
Bi Hussain ambaye ni mjamzito wa miezi saba amesema kuwa anaugua baada ya kukiona kiumbe hicho ndani ya mkebe wa tomato.
Kampuni ya Euro Foods inayouza bidhaa hiyo imesema kuwa inachunguza ni vipi chura hicho kiliingia ndani ya mkebe huo

''Nimeongea na mkunga wangu kuhusu niliyoyaona na akaniamibia niende hospitalini nitakaposikia vibaya.'',Mumewe amesema kuwa alishtushwa na makelele yaliopigwa na mkewe.
''Mke wangu alikuwa akiniandalia chakula cha mchana na mwanagun wa miezi 15 Wakati alipofungua mkebe huo alionekana na kuanza kupiga makelele akiniita''.
0 comments:
Post a Comment