
Timu za Arsenal, Chelsea zinatajwa kumchukua mchezaji huyo ,ingawa Manchester United inapewa chapuo kubwa la kumnasa mchezaji huyo mwenye miaka 24,kuja kukipiga klabuni hapo Old Trafford msimu huu.Mwenyewe anasema mazungumzo hayajakamilika na kufikia maamuzi ya mwisho
0 comments:
Post a Comment