
Miguu ya Dong Lei ina urefu wa inchi 45 – sawa na kimo cha binti mwenye miaka saba nchini China.
Mwanamitindo huyo mwenye urefu futi 5 inchi 11 kutoka jimbo la Anhui, mashariki ya China, ambaye ni mkufunzi wa walimu, huweka miguu yake mbele ya wazazi wake warefu, iliripoti People’s Daily Online.
Hivi karibuni Dong aliingia katika kipindi maaruufu cha runinga na “Supermodel” na kuwavutia majaji kwa figa yak matata.
Shabiki mmoja aliandika kumshauri aikatie bima miguu yake baada ya kuona picha za mwanamitindo huyo mtandaoni.
Dong anasema amepata kimo hicho kutoka kwa baba yake mwenye urefu futi 6 inchi 1 na mama yake futi 5 inchi 7.
0 comments:
Post a Comment