
Mchezaji huyo miaka 23 hajui hatima yake Santiago Bernabeu baada ya ujio wa meneja mpya Rafa Benitez.Isco alijiunga na Real Madrid kwa ada ya Euro milioni30 ikiwa ni usajili wa Mwalimu Carlo Ancelotti na amecheza michezo 53 hadi sasa pamoja na mechi tatu za timu ya taifa ya Hispania.
0 comments:
Post a Comment