Pichani ni bi mdada
Chanel Tapper akionyesha urefu
wa ulimi wake.
Chanel Tapper ni mwanafunzi wa
chuo cha California Marekani,
ndiye mwanamke wa kwanza
anayeshikilia rekodi ya dunia ya
kuwa na ulimi mrefu kupita
wanawake wote, inasemekana
anaulimi wenye urefu wa
sentimita 9.7, baada ya kuingia
katika kitabu cha rekodi za dunia
maarufu kama Guiness , amesema
anategemea wahisani pamoja na
hela atakazopata ziweze
kumuendeleza katika kumaliza
chuo na masomo yake.
0 comments:
Post a Comment