Angel Di Mari kushuka kwake kwa kiwango kuna
sababishwa na Manchester United
wenyewe,asema kocha watimu yataifa ya
Argentina Gerardo Martino [chanzo Dailystar]
Di Maria mwenye umri wa miaka 26 alikuwa na
mwanzo mzuri pale alipojiunga na Manchester
United mwanzoni mwa msimu akitokea Real
Madrid kwa kupachika magoli ma 3 katika mechi
5 na assist kadhaa,lakini mchezaji huyo wa
kimataifa wa Argentina ameshindwa kufunga goli
katika mechi zake 4 za mwisho.
Lakini kocha wake watimu yataifa amesema
sababu kubwa ni kutokana na kusuasua kwa
klabu yake ya Manchester United iliyo chini ya
Lous Van Gaal msimu huu alisema "ninapaswa
kusema Di Maria ni mmoja kati ya wachezaji
bora duniani,alianza vyema sana,lakini kiujumla
mchezaji anapo kwenda katika timu mpya na
anatakiwa azoe ligi mpya,timu mpya,aina tofauti
ya uchezaji wa timu na wachezaji tofauti,nadhani
kiwango anacho kionyesha kwa sasa kina
sababishwa na mambo haya.
"katika kiwango chake cha sasa,kiwango cha
uchezaji cha timu,uchezaji wa kiujumla wa timu
unaweza ukawa ndio sababu kuu kwa uwezo wa
mchezaji binafsi"
0 comments:
Post a Comment