Facebook

Tuesday, 18 November 2014

SABABU YA KIM KARDASHIAN KUPIGA PICHA ZA (+18) HII HAPA

Kim kardashian amekuwa gumzo sana kwenye internet siku chache baada YA kuachia picha zake za utupu maarufu kwa jina la "break the Internet",akionesha vizuri booty yake bila wasiwasi wowote.
Sababu ya kufanya vile imegundulika ni kuwa alitaka kuonesha mwili wake Ule kabla ya kupata mimba tena.Watu wake wa karibu walisema Kim alitaka kuonesha mwili wake huo kabla ya kupata mimba tena na alikuwa proud na huo mwili baada ya kumzaa mtoto wake North.
Upande mwingine Kanye anaonekana kutokuwa na wivu na vitendo hivyo vya mke wake badala yake amekuwa akifurahia tu.Pia imegundulika kuwa kuna picha zaidi zitakuja soon,photographer wa hizo picha anaitwa Jean-paul Goude,ni maarufu kwa kupiga picha za namna hiyo kwan pia alishawahi kufanya hivyo na Naomi Campbell 
Imeandaliwa na Samchris Swai 
Credits;TMZ


0 comments:

Post a Comment