Baada ya Lady Jaydee kufunguka ya moyoni dhidi ya mumewe,mumewe aomba ushauri kwa ndugu na jamaa kama anaweza kujibu shutuma zilizoelekezwa upande wake.
"Ndugu zangu na jamaa zangu nawauliza nimjibu au nisimjibu huyo anayedhani yeye malaika anayekosewa yeye tu??"
Wewe ungemshauri nini? Acha comment yako hapa chini ....
0 comments:
Post a Comment