Kwa mujibu wa jarida la OK! Beyoncé hutumia dola milioni moja kila mwaka ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 1.7 kujiremba peke yake.
Chanzo hicho kimesema ukijumlisha gharama za kujitengeneza hivyo hufika kiasi hicho cha dola.
“So what does $1 million buy Beyoncé? That amount gets her a personal spray tan artist, a staff masseuse, skin treatments such as Botox and chemical peels, and loads of skin products. The insider revealed that Beyonce spends as much as $1,000 a day on treatments to keep her skin radiant and flawless,” umeandika mtandao wa inquisitr.com.
0 comments:
Post a Comment