Facebook

Friday, 20 February 2015

Diamond Platnumz aongea maneno mazito kuhusiana na sakata la Mauaji ya Albino.

 "Ndugu zangu! nafkiri ni Muda wa kubadilika sasa...Tuacheni fikra potofu, za Kipuuzi na ukatili Usio na Maana.. Hivi inamaa unataka kuniambia na hao kina Bill gates Mzee wa kuku, Carlos Slim, Amancio Ortega , Bakhresa  na Matajiri wakubwa Duniani pia Walitajirika kupitia Ukatilii huu wa Ma Albino...??? Juhudi na Utendaji wako wa Kazi ndio utao kufanya Uendelee na kufikia Hayo Malengo unayoyataka... Tuache kujidanganya na Kuwatesa Ndugu zetu wasio na Hatia....."

Kupitia Ukurasa wake wa FACEBOOK Diamond Plutnumz amepost picha hiyo hapo juu na maneno haya hapa chini.

"Ndugu zangu! nafkiri ni Muda wa kubadilika sasa...Tuacheni fikra potofu, za Kipuuzi na ukatili Usio na Maana.. Hivi inamaa unataka kuniambia na hao kina Bill gates Mzee wa kuku, Carlos Slim, Amancio Ortega , Bakhresa na Matajiri wakubwa Duniani pia Walitajirika kupitia Ukatilii huu wa Ma Albino...??? Juhudi na Utendaji wako wa Kazi ndio utao kufanya Uendelee na kufikia Hayo Malengo unayoyataka... Tuache kujidanganya na Kuwatesa Ndugu zetu wasio na Hatia....."

0 comments:

Post a Comment