Facebook

Wednesday, 18 February 2015

Kigogo mamlaka ya Bandari "amtunishia kifua" Waziri Samwel Sitta



Baada ya Waziri wa Uchukuzi Samwel Sitta kumsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya Bandari Mhandisi Madeni Kipande kwa tuhuma za utendaji mbovu,Mkurugenzi huyo ameibuka na kusema anashangazwa na uamuzi huo kwa kuwa hakuwai kuitwa kabla na bodi kueleza tuhuma hizo.

0 comments:

Post a Comment