
Mwananchi mmoja amefariki dunia huko Ifakara Mkoani Morogoro ambaye hakuweza kutambulika hadi tunaweka taarifa hii.Tukio hilo lilitokea alipokuwa anatoka kusaga akielekea nyumbani kwake, akiwa njiani akavamiwa na huyo Simba pichani na kuhitimisha uhai wake
Lakini Simba naye akapigwa risasi ndiyo ukawa mwisho wake pia.
Endelea kutembelea www.bantutz.com tutakujuza kila kitakachokuwa kinajiri.
0 comments:
Post a Comment