Baadhi ya wachina waishio Tanzania hapo jana waliungana na wenzao duniani kuadhimisha mwaka mpya wa kichina.
Hata hivyo wakati wachina
hao wakiadhimisha mwaka huo baadhi ya raia wa Tanzania wamekuwa
wakistaajabu vyakula wanavyokula wachina kwani kwa upande wao haviliwi.
Miongoni mwa vyakula vinavyofurahiwa wakati wa sherehe hizi ni pamoja na nyama ya mbwa.
Profesa Jang Shao
Jin mchina ambaye kwake haoni tatizo kula nyama ya mbwa.Alizungumza hilo baada ya sakata la muuza mishikaki kukamatwa kwa kuuza mishikaki yenye nyama ya Mbwa Da es salaam.
0 comments:
Post a Comment