
Tarehe na siku za kuchezwa mechi za hatua ya robo fainali ya FA Cup zimetajwa muda mfupi uliopita. Na hii ndio ratiba kamili;
Jumamosi tarehe 7 March:
Bradford City V Reading
Saa 9:45 alasiri.
Aston Villa V West Bromwich Albion
Saa 2:30 usiku.
Jumapili tarehe 8 March:
Liverpool V Blackburn Rovers
Saa 1:00 usiku.
Jumatatu tarehe 9:
Manchester United V Arsenal
Saa 4:45 usiku.
Hiyo ndio ratiba kamili ya hatua ya robo fainali ya FA Cup.
ZINGATIA:
Muda uliowekwa kwenye ratiba hiyo ni kwa saa za Kiswahili na Afrika Mashariki kwa ujumla.
0 comments:
Post a Comment