Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Saturday, 12 March 2016

UVUMILIVU UMEMSHINDA MANARA, AJA NA TAKWIMU NANI ANASTAHILI KUITWA WA KIMATAIFA.

Haji Manara-Afisa habari Simba SC Waungwana kila uchwao kwenye jiji hili na viunga vyake sambamba na maeneo mengi ya nchi, kuna neno wa ‘kimataifa’ hulisikia likiimbwa. Waimbaji wakuu wa neno hilo ni mashabiki wa Yanga wakiongozwa na mpiga zumari wao aliyeacha kazi yake na kujigeuza muimbaji. Kinyume chake hilo neno klabu ya Simba huitwa wa ‘mchangani’ au wa ‘matopeni’. Wengi wananilaumu kuwa kwa...

Friday, 11 March 2016

Hawa ndio Mawaziri wa Rais Dkt Magufuli waliopewa kibali cha kusafiri Nje ya Nchi.

Rais John Magufuli ametoa kibali kwa Mawaziri wawili kusafiri nje ya nchi, wameruhusiwa kwenda nchini Vietnam kujifunza mbinu za kuinua kilimo na kujenga viwanda -Mawaziri wawili waliopata kibali hicho ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemb...