Scott Walker, ambaye ni miongoni wagombea waliokuwa wakiwania kuteuliwa kugombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican amejiondoa kutoka kwa kinyanganyiro hicho.
Bwana Walker ambaye alikuwa gavana wa jimbo la Winscosin amesema amejitoa kutoka kampeini hizo ili kutoa nafasi kwa uteuzi wa mgombea muafaka atakayekabiliana na Donulkd Trump.
Mgombea huyo, ambaye alikuwa akiungwa mkono kwa wingi na wafuasi wa mrengo wa kulia, lakini hata hivyo katika kura ya maoni kiwango chake kilishuka baada ya kufanya vibaya katika midahalo. Scott Walker, mmojawapo wa wagombea watarajiwa wa urais kwa tiketi ya chama cha Republican amejiondoa kutoka kwa kinyanganyiro hicho.
Bwana Walker ambaye alikuwa gavana wa jimbo la Winscosin amesema amejitoa kutoka kampeini hizo ili kutoa nafasi kwa uteuzi wa mgombea muafaka atakayekabiliana na Donulkd Trump.
Mgombea huyo, ambaye alikuwa akiungwa mkono kwa wingi na wafuasi wa mrengo wa kulia, lakini hata hivyo katika kura ya maoni kiwango chake kilishuka baada ya kufanya vibaya katika midahalo.
Tuesday, 22 September 2015
Mgombea Urais ajitoa katika kinyanganyiro baada ya kufanya vibaya katika midahalo
Related Posts:
Kundi la Al Shabaab lakiri kufanya mashambulizi Kenya Watu zaidi ta arobaini na tano wameuawa katika mashambulizi ya Mpeketoni Kundi la wapiganaji wa Al Shabaab nchini Somalia, limekiri kufanya mashambulizi katika eneo la Mpeketoni karibu na Lamu,… Read More
Maiti yapatikana uwanja wa ndege Kenya Polisi wanachunguza ikiwa mtoto huyo alianguka kutoka kwa ndege au la Shughuli katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta zilisitishwa kwa muda… Read More
Raila Odingaazungumzia suala la mashambulio ya Mpeketoni. Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE … Read More
Kenyatta alaumu wanasiasa kwa mashambulio katika mji wa Mpeketoni Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema mashambulio katika mji wa Mpeketoni, katika pwani ya Kenya hayakufanywa na kundi la al-Shabab. Katika hotuba yake kupitia televisheni kwa taifa, Rais Kenyatta amesema ushahidi… Read More
330 wafariki kutokana na Ebola Watu zaidi ya 300 wamefariki kutokana na Ebola Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola Mgharibi mwa Afrika umesababisha vifo vya watu 330 tangu mwezi Februari. Takwi… Read More
Tutafika tu
ReplyDelete