Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Showing posts with label Video. Show all posts
Showing posts with label Video. Show all posts

Sunday, 1 March 2015

BantuTZ LIVESTREAMING:-Angalia mechi zote kali za leo ligi mbalimbali barani Ulaya Katika SIMU,TABLET au COMPUTER yako.

 
Kwa mara nyingine tena kupitia BantuTz LiveStreaming utaangalia Mechi zote za leo Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya.'LiveStreaming' kupitia Simu,Computer au Tablet yako. Utaangalia mechi hizo bila kukwama au kukatika kwa matangazo ya mechi hizo hata kidogo.

Utafurahia kuangalia mechi hiyo kama utatumia Computer ya aina yoyote ile.Nunua bundle la shilingi 1000 Tigo au Airtel kisha jiunge 'Unlimited Bundle'-Airtel na 'Bila Kikomo Bundle'-Tigo vivyo hivyo kwa watumiaji wa Vodacom

---------------------------------------------------------------------------------
 LIGI KUU UINGEREZA

 Liverpool FC - Manchester City-BantuTz LIVESTREAMING:-ANFIELD -15:00 ALASIRI.

Arsenal - Everton FC-BantuTz LIVESTREAMING:-EMIRATES-17:5 JIONI

---------------------------------------------------------------------------------- FAINALI KOMBE LA CAPITAL ONE.
Chelsea - Tottenham Hotspur-BantuTz LIVESTREAMING:-WEMBLEY-19:00 JIONI.
----------------------------------------------------------------------------------

 LIGI KUU UHISPNANIA-LALIGA
Valencia CF - Real Sociedad-BantuTz LIVESTREAMING:-14:00

FC Sevilla - Atletico Madrid-BantuTz LIVESTREAMING:-21:00

Real Madrid - Villarreal CF-BantuTz LIVESTREAMING:-23:00

----------------------------------------------------------------------------------
LIGI KUUITALIA-SERIE A
Inter Milan - AC Fiorentina-BantuTz LIVESTREAMING:-20:00

Torino FC - Napoli-BantuTz LIVESTREAMING:-22:45 USIKU

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

LIGI KUU UHOLANZI-EREDIVISIE
PSV Eindoven - Ajax Amsterdam-BantuTz LIVESTREAMING-18:-45 JIONI
--------------------------------------------------------------------------------
LIGI KUU URENO
FC Porto - Sporting Lisbon-BantuTz LIVESTREAMING:-22:45 USIKU
--------------------------------------------------------------------------------
LIGI KUU UFARANSA-LEAGUE 1
AS Monaco - Paris Saint Germain-BantuTz LIVESTREAMING:-23:00 USIKU.
--------------------------------------------------------------------------------

Tutaendelea kukuonyesha mechi nyingi kadri tuwezavyo.Endelea kufurahia huduma kutoka BantuTz LIVESTREAMING.Ni katika njia bora kabisa za kukurahisishia huduma na kupanua wigo wa utoaji huduma zetu.Kwani katika mtandao wetu mpya tutakaouzindua hapo mwezi Juni tutakuwa na sehemu maalumu itakayokuwezesha kuangalia michezi mbalimbali live.

Saturday, 29 November 2014

VIDEO MPYA:BEYONCE AWAFUNIKA IGGY,NICKI,J LO NA KIM ANGALIA HAPA

Beyonce amerelease video ya "7/11" na kuonesha kwamba hawezi kupitwa au kushindwa na akina  Iggy, J.Lo or Kim or Nicki.Kwenye video amenesha uwezo wake katika kushake "what her mama gave her"Beyonce alirelease hiyo video ghafla ambapo ipo kwenye album yake ijayo 



Imeandaliwa na........
                      Samchris Swai

Thursday, 24 April 2014

Angalia vipaji vya watoto hawa...wacheza shoo wa Diamond na P-Square wakajipange.....


Muangalie dada huyu mwenye kipaji cha soka.....ana control ya ajabu sana...


Wednesday, 16 April 2014

Kala Jeremiah Ft. Juma nature_Young Killer_Nay Lee-Wale Wale Remix (Official Video).........Angalia hapa......



Video nyingine kali kutoka kwa Kala Jeremiah akishirikiana na wasanii wengine wakubwa.....angalia mandhari mazuri na quality ya hii video...Young Killer katika Ubora wake........
                                         katemimethsela.blogspot.com

Queen Darlin feat. Shilole-Wanatetemeka.(Official Video)......Angalia hapa

Angalia video yenye kiwango cha hali ya juu kutoka kwa Queen Darlin akishirikiana na Shilole........Diamond ndani akiuza sura ......video kali kabisa kufanywa na mwanadada Queen Darlin

Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com upate fursa  ya kuangalia na kusikiliza hits kali na vichupa mbalimbali vipya kwa wakati na muda muafaka bila zengwe.....

Prof Jay Feat. Diamond-Kipi Sijasikia.........kichupa kipya angalia hapa........



Nani kamfunika mwanzake kati ya Diamond na Mkongwe Prof Jay...tupia comment yako chini............................................

T.I.D feat. Prof Jay-Raha (Official Video)........ Kuwa wa Kwanza Kuiangalia Hapa.......


Monday, 14 April 2014

ANGALIA KICHUPA KIPYA CHA A.Y ft. DELA-ASANTE


ANGALIA VIDEO MPYA YA LADY JAY DEE-NISIMAMA HAPA


Monday, 24 February 2014