Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Thursday 20 August 2015

Rooney "Nikianza kufunga hakuna wa kunizuia"

"Itapendeza Nikianza Kufunga.,Sikucheza Vizuri Mechi 1 Na Kila Mtu Anaongelea Hilo.Imekuwa Ikinitokea Katika Maisha Yangu Yote Ya Soka.,Lakini Naamini Wiki Hii Dhidi Ya Newcastle Naweza Anza Kufunga"
"Mi Ni Mtu Mkweli.,Ninajua Ninapokuwa Sijacheza Vizuri,Na Dhidi Ya Astonvilla Nilikuwa Chini Ya Kiwango Na Nalijua Hilo. Nilipoteza Sana Mpira Na Nafahamu Hilo.,Sio Mechi Nnayotaka Kukumbuka Na Kujivunia,Lakini Mechi Kama Hizo Hutokea,Inatakiwa Kuangalia Ya Mbele"
"Kizuri Nilicheza Dhidi Ya Club Brugge (Ukilinganisha Na Astonvilla).,Ningeweza Funga Zaidi Ya Mara Moja. Bado Ni Mapema Sana Katika Msimu Mpya.,Watu Wataongelea Mwisho Wa Msimu Ulopita Na Mwanzo Wa Msimu Huu. Lakini Tumeshacheza Mechi 3.,Ni Juu Yangu Kuendelea Kupambana. Khali Hii Imekuwa Ikinitokea.,Lakini Magoli Yatakuja Tu,Najua Hilo"
"Huwa Najiwekea Kiwango Na Kujaribu Kukifikia.,Najua Ni Jukumu Langu Kufunga,Lakini Mephis Alifunga 2 Dhidi Ya Club Brugge Na Fellaini Akafunga Pia. Kila Mtu Anatakiwa Kufunga.,Lakini Natambua Kuwa Mimi Ndio Natakiwa Kuongoza Mashambulizi Na Kujaribu Kufunga Magoli"
"Bado Naamini Naweza Funga Magoli Zaidi.,Ni Kuendelea Tu Kujiweka Sehemu Sahihi Na Magoli Yatakuja Tu. Akili Iko Sawa.,Ninajua Jinsi Gani Ya Kucheza Nafasi Hiyo. Ni Swala Tu La Kupata Nafasi Na Kuzitumia Vizuri.,Ambalo Naamini Litaanza Kufanyika Hivi Karibuni