Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Showing posts with label Funny and Cartoons. Show all posts
Showing posts with label Funny and Cartoons. Show all posts

Thursday, 4 June 2015

Huyu ndiye mwanamitindo mwenye miguu mirefu kuliko yote duniani.

Mwanamitindo Dong Lei ana miguu yenye urefu inchi 45Mwanamitindo, 20, amekuwa nyota mtandaoni nchini China kwa kuwa na miguu mirefu.
Miguu ya Dong Lei ina urefu wa inchi 45 – sawa na kimo cha binti mwenye miaka saba nchini China.
Mwanamitindo huyo mwenye urefu futi 5 inchi 11 kutoka jimbo la Anhui, mashariki ya China, ambaye ni mkufunzi wa walimu, huweka miguu yake mbele ya wazazi wake warefu, iliripoti People’s Daily Online.
Mwanamitindo Dong Lei ana miguu yenye urefu inchi 45
Mwanamitindo Dong Lei ana miguu yenye urefu inchi 45
Hivi karibuni Dong aliingia katika kipindi maaruufu cha runinga na “Supermodel” na kuwavutia majaji kwa figa yak matata.
Shabiki mmoja aliandika kumshauri aikatie bima miguu yake baada ya kuona picha za mwanamitindo huyo mtandaoni.
Dong anasema amepata kimo hicho kutoka kwa baba yake mwenye urefu futi 6 inchi 1 na mama yake futi 5 inchi 7.
Dong Lei amekuwa kivutio mtandaoni kutokana miguu yake hiyo
Dong Lei amekuwa kivutio mtandaoni kutokana miguu yake hiyo

Hii ni harusi ya kipekee;Aingia ukumbini kwa kutumia jeneza kama usafiri.

aruc
Maharusi wengi hutamani siku ya harusi kuwa siku ya kitofauti zaidi katika maisha yao wakiamini ndio siku pekee ambayo ni ya furaha zaidi huku wengine wakitumia kila aina ya njia kuhakikisha sherehe yao inapendeza.
bride
Utakuta wengine wanatumia usafiri wa farasi au magari ya kifahari kuhakikisha tu sherehe inakuwa ya kipekee zaidi kwao lakini kwa Jenny Buckleff ilikua tofauti kwani yeye alitumia jeneza kama usafiri wake.
aruc2
Jenny alitaka kuwashangaza wageni waliofika kwenye sherehe yake hata kwa mumewe pia kwani hakumwambia mtu yoyote kuhusu uamuzi wake huo.
nne
Siku ya sherehe aliingia ukumbini akiwa ndani ya jeneza lililokuwa likisikumwa kwa pikipiki huku kila mmoja akishikwa na butwaa kutokana na kitendo hicho ambacho si rahisi kutokea.
akitoka

Thursday, 26 February 2015

BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO FEBRUARI 26

.BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma magazeti yote ya leo.
 .
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Endelea kufurahia huduma za BantuTz.com huku ukiusubiria kwa hamu Mtandao wa kijamii mkubwa na wa kisasa zaidi uitwao Bantuz mwaka huu

Saturday, 21 February 2015

Mbunge akimbia Bungeni kisa chupi inayobana.

 
Mbunge mmoja wa Canada alitoa sababu ambayo haijawahi kusikika iliomlazimu kutoka bungeni kwa haraka.

Amesema kuwa suruali yake ya ndani ndio iliomlazimu kuondoka mapema kwa kuwa ilikuwa ikim'bana.
Mbunge huyo wa upinzani Pat Martin alimwambia Spika kwamba vazi hilo lilimbana sana na kumzuia kuweza kuendelea na kikao cha kupiga kura.
Hatahivyo alifanikiwa kurudi kwa wakati na kupiga kura yake.
 
Baadaye mtandao wa twitter ulijaa ujumbe wa kisa hicho.
Mbunge huyo alizua ucheshi miongoni mwa wabunge wenzake liposema kwamba alinunua suruali hiyo kwa bei ya chini bila kujua kwamba ilikuwa ndogo.
Spika wa bunge hilo alisema kwamba alimuagiza mbunge huyo kuketi chini wakati alipotaka kutoka.