Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Wednesday, 3 December 2014

BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO DESEMBA 3


DSC06413

DSC06413 

BantuTz MAGAZETI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma magazeti yote ya leo.
DSC06414
DSC06415
DSC06416
DSC06417
DSC06418
DSC06419
DSC06420
DSC06421
DSC06422
DSC06423
DSC06424
DSC06425
DSC06426
DSC06427
DSC06428
DSC06429
DSC06430
DSC06431
DSC06432
DSC06433
DSC06434
DSC06435
DSC06436
DSC06437
DSC06438
DSC06439
DSC06440
DSC06441
DSC06442
DSC06443
DSC06444
DSC06445
DSC06446 

Endelea kufurahia huduma za BantuTz.com huku ukiusubiria kwa hamu Mtandao wa kijamii mkubwa na wa kisasa zaidi uitwao Bantuz hapo mwakani.

Hawa ndiyo Watanzania wanaowania Tuzo ya mchezaji bora Ya Mtandao wa Goal.com

Mrisho Ngassa, Mbwana Samata, Sure Boy,
Thomas Ulimwengu, na Jonas Mkude
wametajwa na mtandao wa Goal Com
kugombea tuzo ya mchezaji bora wa
Tanzania 2014.

Je,Unadhani anastahili kuwa
mwanasoka bora wa Tanzania mwaka huu?

Tuesday, 2 December 2014

BantuTz LIVESTREAMING:-ANGALIA MECHI ZOTE ZA LIGI KUU UINGEREZA USIKU HUU LIVE KUPITIA SIMU,COMPUTER AU TABLET YAKO.

Angalia Mechi zote za Leo  Usiku Ligi kuu Uingereza.

'LiveStreaming' kupitia Simu,Computer
au Tablet yako.

Utaangalia mechi hizo bila kukwama au
kukatika kwa matangazo ya mechi hizo hata
kidogo.

Utafurahia kuangalia mechi hizo kama
utatumia Computer ya aina yoyote ile.Hata ukitumia simu au tablet utafurahia huduma hii.

Nunua bundle la shilingi 1000 Tigo au Airtel
kisha jiunge 'Unlimited Bundle'-Airtel na 'Bila
Kikomo Bundle'-Tigo vivyo hivyo kwa
watumiaji wa Vodacom.

22:45 Manchester United vs Stoke City:-BantuTz LIVESTREAMING Channel

22:45 Leicester City vs Liverpool:- BantuTz LIVESTREAMING Channel

22:45 Swansea City vs Queens Park Rangers:- BantuTz LIVESTREAMING Channel

23:00 Crystal Palace vs Aston Villa:- BantuTz LIVESTREAMING Channel

23:00 West Bromwich Albion vs West Ham United:- BantuTz LIVESTREAMING Channel

Tutaendelea kukuonyesha mechi nyingi kadri
tuwezavyo.Endelea kufurahia huduma kutoka
BantuTz LIVESTREAMING.

Waziri wa usalama Kenya "apigwa chini"

Rais Uhuru Kenyatta amemwachisha kazi
waziri wa usalama Joseph Ole Lenku na
kumpendekeza waziri mpya wa usalama
Joseph Nkaiseri kuchukua nafasi hio.
Wakati huohuo mkuu wa polisi nchini Kenya
inspekta generali David Kimaiyo amejiuzulu
kutokana na shinikizo dhidi yake afanye hivyo
kwa kushindwa kukabiliana na utovu wa
usalama nchini.
Rais Kenyatta alisema kuwa baada ya
mazungumzo na Bwana Kimaiyo alikubali
'kustaafu' mapema kutoka kwa majukumu yake
kwa sababu za kibinafsi.
Rais alitoa tangazo hilo wakati akihutubia taifa
kufuatia shambulizi la hapo jana dhidi ya
wachimba migodi 36 waliouawa na Al Shabaab
mjini Mandera Kaskazini ya Kenya.

Rais pia alitangaza kuwa amekubali ombi la
Generali wa polisi David Kimaiyo kuachia
wadhifa wake.
Kimaiyo na Ole Lenku wamekuwa wakikabiliwa
na shinikizo za kuachia ngazi kufuatia kukithiri
kwa utovu wa usalama nchini.
Hatua ya kuwatimua kutoka katika nyadhifa
zao wawili hao bila shaka litakuwa jambo la
kuridhisha kwa wakenya wengi ambao
wamekuwa wakilalamikia utovu wa usalama na
kuwataka waondoshwe ofisini.
Uteuzi wa Joseph Nkaisery kama waziri mpya
wa usalama ni jambo jipya kwani atakuwa
mwanasiasa wa kwanza kutoka kwa upinzani
kuwa ndani ya serikali.
Alipokuwa anahutubia nchi,Rais Kenyatta
aliwasihi wabunge kuongeza mda wa vikao vyao
vya leo ili kumhoji na kumkagua Nkaisery
aliyeteuliwa kuchukua nafasi ya waziri mpya wa
usalama na maswala ya ndani ili
wamuidhinishe.

Wachezaji wa Real Madrid wakabidhiwa magari ya kifahari na kampuni ya Audi.

Kampuni ya magari ya Audi imewakabidhi
wanandinga wa klabu ya Real Madrid magari yao
aina ya Audi huko Ciudad Real Madrid, ambapo
wanandinga hao walikabidhiwa funguo zao
kwenye sherehe maalum, ya kuadhimisha miaka
kumi na mojaya udhamini wake na klabu hiyo.

Wakiwa wamegawanywa kwenye makundi mawili,
moja likiongozwa na mlinda mlango na nahodha
Casillas na lingine likiwa linaongozwa na
nahodha msaidizi, yaligawanywa kwa shughuli
mbalimbali za kufanya majaribio zilizoandaliwa
na wadhamini wao, ikiwa ni matukio ya
maonyesho.

Raisi wa klabu hiyo Florentino Pérez aliainisha
muunganiko wa bidhaa mbili kwa pamoja, ile ya
kipindi cha sasa na kijacho, kwa maana hiyo kwa
kuwa wanatambua wanaaminika kila pembe ya
dunia, basi wapo tayari kushinda kila kitu wakati
huu.
Katika hotuba yake, Guillermo Fadda, ambae ni
mkurugenzi mtendaji wa Audi Hispania amesema
kwamba, walisaini mkataba wa nguvu na Real
Madrid mnamo mwaka 2003, uliotuama kwenye
uaminifu baina yao ambao utaendelea kwa miaka
mine zaidi.

Mkataba huo pia unatoa nafasi kwa klabu hiyo
kushiriki katika mashindano ya kombe la Audi,
ambalo mara zote huwapo kwenye kipindi cha
maandalizi ya msimu mpya unaokuwa unafuata.
Shughuli hiyo ilihudhuriwa pia na José Ángel
Sánchez, ambae ni mkurugenzi mtendaji wa Real
Madrid, na Francisco García Sanz, ambae
makamu wa raisi wa kampuni ya magari ya
Volkswagen group, kufuatia mabadilishano ya
zawadi kati yao, wanandinga wa kikosi cha
kwanza na meneja Carlo Ancelotti walipewa
magari mapya kwa msimu wa 2014-2015.

Yawezakuwa ni kama mbingu na ardhi
kufananisha, lakini Kuangalia ni kitu kimoja, lakini kuiga
yawezakuwa kitu kingine,timu zetu zinaingia
mikataba,lakini mikataba hii inaangalia maslahi
ya wanandinga wake?

Instagram yamuweka Balotelli matatani.

Shirikisho la soka FA linachunguza ujumbe
wa Instagram wa mshambuliaji wa
Liverpool Mario Balotelli unaodaiwa kuwa ni
wa kibaguzi.

Ballotel mwenye umri wa miaka 24 akijibu
shutma dhidi yake kutokana na ujumbe wake
mtandaoni aliandika tena ujumbe usemao

“mama yangu ni Myahudi wote nyamazeni
kimya”.

Hata hivyo Balotelli anadaiwa kuufuta haraka
haraka ujumbe wa awali aliouandika ambao
unadaiwa kuwa ni wakibaguzi.

Msemaji wa Liverpool anayochezea Balotell
amesema kuwa wanataarifa kuhusiana na
ujumbe huo na kwamba watafanya
mazungumzo na Balotell.

Shirikisho la soka FA limesema kuwa linataarifa
kuhusiana na mchezaji huyo kuiweka taarifa
hiyo katika Instagram na kisha kuifuta baadae.
Mkurugwenzi wa zamani wa shirikisho la soka
Simon Johnson anasema Balotell anastahili
kuchukuliwa adhabu kwa kitendo hicho

BantuTz MAGAZINE-Soma kilichoandikwa katika Magazeti ya leo Desemba 2

 DSC06375
 BantuTz MAGAZETI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma magazeti yote ya leo.


DSC06371
DSC06371
DSC06372
DSC06373
DSC06374

DSC06376
DSC06377
DSC06378
DSC06379
DSC06380
DSC06381
DSC06383
DSC06384
DSC06386
DSC06387
DSC06388
DSC06389
DSC06390
DSC06391
DSC06392
DSC06393
DSC06394
DSC06395
DSC06396
DSC06398
DSC06399
DSC06400
DSC06401
DSC06402
DSC06403
DSC06404
DSC06405
DSC06406
DSC06407
DSC06408


Endelea kufurahia huduma za BantuTz.com huku ukiusubiria kwa hamu Mtandao wa kijamii mkubwa na wa kisasa zaidi uitwao Bantuz hapo mwakani.