Facebook

Saturday 29 November 2014

VIDEO MPYA:BEYONCE AWAFUNIKA IGGY,NICKI,J LO NA KIM ANGALIA HAPA

Beyonce amerelease video ya "7/11" na kuonesha kwamba hawezi kupitwa au kushindwa na akina  Iggy, J.Lo or Kim or Nicki.Kwenye video amenesha uwezo wake katika kushake "what her mama gave her"Beyonce alirelease hiyo video ghafla ambapo ipo kwenye album yake ijayo 



Imeandaliwa na........
                      Samchris Swai

0 comments:

Post a Comment