Kampuni ya Apple inayotengeneza iPhone imethibitisha kuwa itanunua kampuni ya Beats Electronics inayotengeneza headphone za Beats.
Apple itatoa dola BILIONI TATU.
Beats ilianzishwa na msanii wa hip-hop wa Marekani DR Dre akishirikiana na producer Jimmy Lovine mwaka 2008.
Katika makubaliano ya mauzo, Dr Dre na Jimmy Lovine nao watajiunga katika maradi huo wa Apple.
Katika taarifa waliotoa, Apple watalipa dola BILIONI 2.6 kwanza halafu dola milioni 400 zilizosalia zitalipwa taratibu.
0 comments:
Post a Comment