Wanasanyansi wa safari za anga za mbali
wamejawa na shauku ya kutaka thibitisho
kwamba Chombo kilichopelekwa na kutua
kwenye kimondo au nyota mkia yaani
Comet iliyo umbali wa zaidi ya kilometa
nusu bilioni kutoka duniani.
Hapo jana Chombo hicho kiliwezesha kuwekwa
kwa historia ya kuwa kifaa cha kwanza kuwahi
kutengenezwa na binadamu kutua kwenye
kimondo, kazi iliyochukua zaidi ya miaka 10.
Hata hivyo huenda bado kifaa hicho
hakijajibanza kwenye kimondo hicho chenye
upana wa kilometa mbili , kama ilivyotarajiwa-
Data mpya na hasa picha zinasubiriwa kwa
hamu kubwa.
0 comments:
Post a Comment