
"Itapendeza Nikianza Kufunga.,Sikucheza Vizuri Mechi 1 Na Kila Mtu Anaongelea Hilo.Imekuwa Ikinitokea Katika Maisha Yangu Yote Ya Soka.,Lakini Naamini Wiki Hii Dhidi Ya Newcastle Naweza Anza Kufunga"
"Mi Ni Mtu Mkweli.,Ninajua Ninapokuwa Sijacheza Vizuri,Na Dhidi Ya Astonvilla Nilikuwa Chini Ya Kiwango...