"Itapendeza Nikianza Kufunga.,Sikucheza Vizuri Mechi 1 Na Kila Mtu Anaongelea Hilo.Imekuwa Ikinitokea Katika Maisha Yangu Yote Ya Soka.,Lakini Naamini Wiki Hii Dhidi Ya Newcastle Naweza Anza Kufunga"
"Mi Ni Mtu Mkweli.,Ninajua Ninapokuwa Sijacheza Vizuri,Na Dhidi Ya Astonvilla Nilikuwa Chini Ya Kiwango Na Nalijua Hilo. Nilipoteza Sana Mpira Na Nafahamu Hilo.,Sio Mechi Nnayotaka Kukumbuka Na Kujivunia,Lakini Mechi Kama Hizo Hutokea,Inatakiwa Kuangalia Ya Mbele"
"Kizuri Nilicheza Dhidi Ya Club Brugge (Ukilinganisha Na Astonvilla).,Ningeweza Funga Zaidi Ya Mara Moja. Bado Ni Mapema Sana Katika Msimu Mpya.,Watu Wataongelea Mwisho Wa Msimu Ulopita Na Mwanzo Wa Msimu Huu. Lakini Tumeshacheza Mechi 3.,Ni Juu Yangu Kuendelea Kupambana. Khali Hii Imekuwa Ikinitokea.,Lakini Magoli Yatakuja Tu,Najua Hilo"
"Huwa Najiwekea Kiwango Na Kujaribu Kukifikia.,Najua Ni Jukumu Langu Kufunga,Lakini Mephis Alifunga 2 Dhidi Ya Club Brugge Na Fellaini Akafunga Pia. Kila Mtu Anatakiwa Kufunga.,Lakini Natambua Kuwa Mimi Ndio Natakiwa Kuongoza Mashambulizi Na Kujaribu Kufunga Magoli"
"Bado Naamini Naweza Funga Magoli Zaidi.,Ni Kuendelea Tu Kujiweka Sehemu Sahihi Na Magoli Yatakuja Tu. Akili Iko Sawa.,Ninajua Jinsi Gani Ya Kucheza Nafasi Hiyo. Ni Swala Tu La Kupata Nafasi Na Kuzitumia Vizuri.,Ambalo Naamini Litaanza Kufanyika Hivi Karibuni
Thursday, 20 August 2015
Rooney "Nikianza kufunga hakuna wa kunizuia"
Related Posts:
Pato la Manchester United laongezeka Maradufu katika robo ya Kwanza ya Mwaka wa Kifedha.Klabu ya soka ya Manchester United imetangaza mapato yao ya robo ya Kwanza ya Mwaka wa Kifedha.Klabu hiyo pia iko mbioni kuvunja rekodi ya kuvuka Mapato ya pauni milioni 500 na kuweka Rekodi ambayo hajafikiwa na Klabu yeyote.… Read More
Sepp Blatter alazwa baada ya mshutuko. Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa, Sepp Blatter amelazwa hospitalini kutokana na kupatwa mshituko wa neva. Blatter aliyesimamishwa kwa siku 90 kujishughulisha na masuala ya soka wakati akichunguzwa kwa kashfa za rushwa … Read More
Pambano kati ya Brazil dhidi ya Argentina lasogezwa mbele kutokana na hali mbaya ya hewa.Mchezo wa kuwania kufuzu kwa kombe la dunia kati ya Brazil na Argentina umeahirishwa sababu ya mvua nyingi kunyesha. Mchezo huo iliokua uchezwe usiku wa siku ya alhamisi katika uwanja wa Estadio Antonio Vespucio Libert, mjini… Read More
Suleiman Matola aachia ngazi Simba SC.Kocha msaidizi wa simba Suleiman Abdallah Matola amejiuzulu nafasi hiyo kutokana na kile alichodai kutolelewana na Kocha Mkuu, Muingereza, Dylan Kerr. Matola amesema kwamba amefikia uamuzi huo baada ya kuona maelewano na bosi… Read More
Klabu ya Lille yawasilisha rasmi ofa ya kumsajili Samatta.Klabu ya Lille inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa imewasilisha rasmi ofa ya kumsajili mshambuliaji wa TP Mazembe ya DRC) na Taifa Stars, imefahamika. Katika mahojiano na moja ya vituo vya televisheni vya Afrika Kusini usiku … Read More
0 comments:
Post a Comment