Thursday, 17 September 2015
Jengo refu Afrika lazinduliwa Tanzania.
Jengo la PSPF Towers lililozinduliwa na Rais Kikwete hapo jana ni moja ya majengo machache marefu barani Afrika na ndiyo jengo refu zaidi LILILOKAMILIKA Afrika Mashariki na Kati, likiwa na urefu wa mita 147. Ujenzi wake ulitumia miaka minne tangu mwaka 2011 hadi 2015 na limegharimu shilingi bilioni 139.20 za Tanzania. Lina maeneo ya ofisi na nyumba za makazi 88. Pia katika jengo hili kuna sehemu ya Mgahawa, Mabenki, Bwawa la kuogelea, Sehemu za kufanyia mazoezi, Maegesho ya Magari na sehemu nyingine muhimu.
Related Posts:
Mwigulu Nchemba: "Nataka niwe Rais ili niwafundishe adabu Watanzania! Leo jioni, mjini Iringa kwenye viwanja vya Mwembetogwa, Mh Mwigulu Nchemba alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara, alisema kuwa Watanzania wana uhuru mkubwa sana wa kuongea mpaka wanakosa adabu hata kwa wazee… Read More
Kauli ya mwisho ya yule ‘mtoto aliyekaa kwenye boksi kabla hajafariki..hii hapa.. Mtoto aliyekuwa amefichwa kwenye boksi kwa miaka mitatu mfululizo Morogoro,Nasra Rashid (4),akiwa kwenye Wodi B ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili(MNH)alikohamishiwa kwa matibabu zaidi. Picha na Beatrice Moses. Mtoto … Read More
Hatimaye familia ya mwanafunzi aliyefariki Chuo Kikuu cha DSM yaeleza ukweli kuhusu kifo chake ! Hatimaye familia ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, marehemu Happy Sekabenga Pius Mwakimenya (21) kilichotokea hivi karibuni na kugubikwa na utata, imeanika ukweli kuhusiana na tukio hilo. Akizun… Read More
Kituo cha Makumbusho chaanza kazi rasmi Baadhi ya abiria wakisubiri mabasi katika kituo kipya cha Makumbusho. Katikati kulia ni Afisa Mfawidhi Kanda ya Mashariki Sumatra Coneao Shio kushoto ni Mkuu wa Kituo cha Usalama barabarani Wilaya ya Kinondoni Solomon… Read More
Yule mtoto aliyefichwa ndani ya boksi kwa miaka 4 afariki dunia MTOTO Nasrah Rashid (4) aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua na kupata ulemavu kwa kufungiwa kwenye boksi miaka minne amefariki dunia. Nasrah alifichwa kwenye boksi na mama … Read More
0 comments:
Post a Comment