Nimekuwa nikijaribu kila wakati kufikiri na kufanya tafiti kwa
kutumia akili binafsi bila machapisho wala vitabu rejeaa ma msaada
hadithi za kusimuliwa,.moja ya mambo ambayo huwa nafikiria ni kuhusu
jamii inayosemekana ni jamii ya siri(Free mason) kama wengi
wanavoiita.,,
Yafuatayo ni baadhi ya mambo ambayo nimegundua ambayo pia yaweza kuwa tofauti na wengi wanavofikiri.
Nitaaanza kwanza kwa kuifafanua maana ya Free mason na misingi
yake,(narudia tena please hii ni kwa mujibu wangu na nnaandika kutoka
kichwan sio machapisho yoyote).
Free Mason ama wajenzi huru,ni jamiii ama kikundi ambacho kina misingi
toka zaman sana enzi za mfalme solomon.kwa jinsi nnavojua mimi kilianzaa
kama umoja wa wajenzi waliokuwa maarufu sana wakati ule hasa katika
mambo.ya ramani na usanifu majengo,kikundi hiki kilikuwa namisingi yake
mashariki yakati.wakati kinaanza hawakuwa na nia yoyote mbaya kama
inavyosemekana sasa.
Walianza kama umoja wa wajenzi na baadae kutanuaka hadi
ulaya,asia,america kusini na kaskazin na pia africa kaskazin na
ethiopia.malengo yao makubwa yalikuwa kusaidia nak udumisha umoja wao na
kuendeleza chama chao.
UHUSIANO WAO NA UTAJIRI
Baada ya kupata wafuasi(wajenzi),kikundi hiki kilitanuka na kushawishi
watu waliokuwa nau wezo wa kifedha kuwekeza na kujiunga nao ili kuweza
kuendelza imoja wao.matajiri mbali mbali kutoka mabara hasa ya ulaya na
asia pia marekani waliwasapoti na kuinua mfuko wao wa umoja wa wajenzi.
Walikuwa wakichukua tenda za ujenzi katika sehem mbalimbali duniani
na hivo kuanzisha kampuni nyingi karibu kila bara na kanda kadhaa. Na
kwa sababu hiyo walijitengenezea jina na heshima na kwa kuwa walikuwa
wengi matajir waliweza kushawishi mambo mengi katika siasa,sayansi,na
dini.waliweza kufanya mageuzi katika serikal nyingi na kuweka watu
waliowataka wao.waliweza pia kufadhili tafiti mbalimbali za lisayansi na
kuwasapoti watu maarufu na kuwaaminisha watu kuwa wao(watu),kuwa ni
bora na wanauwezo mkubwa kuliko........
KUHUSISHWA KWAO NA SHETANI
Baada ya jamii hii kukua na kuota mizizi ikiwa kama jamii wa
wasomi,wataalam,wabunifu na watu maarufu,ilianza kujipanua na kujiingiza
katika serikal kubwa duniani.na kushawishi mambo ambayo yalikuwa na
manufaaa kwao na hasa katika kuendeleza umoja na mfuko ama ustawi wao.,
Kutokana na kukua kwake wajenzi hawa,wakafikia hatua ya kuanzisha
imani yao binafsi,ambapo moja ya misingi yao ni kuamini katika
nafsi(sisi),(we the people),rejea hotuba za rais obama za kuapishwa.kwah
iyo wakaanzisha utaratibu wao wa kuabudu ambapo wamekuwa wakitoa kafara
na sadaka mbali mbali kutokana na imani yao.wamekuwa na ishara zao z
kutambuana n.k
Kutokana na wao kuamini katika uwezo wao,wamekuwa wakihisiwa
kuwa wanapinga uwepo wa anayeitwa mungu badala yake kwamba wanamuunga
shetani mkono.madai haya binafsi nayapinga kwa sababu kuu zifuatazo.
1.aina ya kuabudu wanayotumia Free masoni ni ile iliyotumiwa na
mnaowaita mababa wa imani,ibrahim(Abraham ),mussa na akina solomon na
wengine wengi.ref.pia kabla ya kuja wakoloni africa tulikuwa tunatoa
kafara hadi ya binadam kwa mizim(was that masonic worship??)
2.hakuna kitabu cha masonic rules kinachoeleza wazi kwamba hakuna
mungu,ila rules zoa zinaonesha misimamo na personal charachters za
mwanadam ambazo hazina uhusiano na kisichoonekana.
3.masoni hawatoi kafara ya kuua wanadam bali ni mbuz,kondoo ama wanyama ambao ni adim kuwaona.
4.chuki,uoga na udhaifu wa dini ndo chanzo cha kusingizia yote.
WANAFANYAJE KAZI
Msonic hufanya shughuli zao kwa umakini na kanuni zao ni za siri
pia.wanavitabu na mafunzo ya misingi imara katika dini yao.ili
kuhakikisha wanajieneza kwa kiasi kikubwa ,wao hudeal na watu maarufu
ama utafiki ama bidhaa pendwa ambapo husapoti na kuendesha shughuli
mbalimbali kwa ufanisi mkubwa.
NINI LENGO LAO??
1. Free masonic,hawana lengo baya kama ambavo tumekuwa tukisimuliwa kila
siku katika media.,lengo lao ni kutaka kujitawanya karibu kila pembe ya
dunia na hivo kupata wafuasi ama waimini wa kutosha.,
2.pia kuitawala dunia(huu ni mpango endelevu ),na kwa imani na plan
zao utatimia kabla ya mwaka 2040,lengo lao ni kuona watu wote wanakuwa
kitu kimoja na kuunda umoja mahal pote katika uso wa dunia.
3.kutaka kumtoa mwanadam hofu ya misemo kama,SIKU YA HUKUMU,LIFE AFTER
DEATH,KIAMA,HEAVEN,HELL n.k,vitu ambavyo kwa iman yao havipo na ni vya
kufikirika.
FREE MASON NI DINI??
Kwa mtazamo wangu mimi masonic sio dini kam wengi wasemavyo,..,najua
hujanielewa lakini em tufafanue nn maana ya dini,kwa nijuavyo mimi Dini
ni aina ya maisha(/shughuli za kimaisha) ambayo mwanadam
anaishi/anafanya kila siku.shughulizi hizo ni kama
kuzalisha,kutambika,na tamaduni zote.kwa hiyo nikisema dini ni utamaduni
nadhn bado ntakuwa sawa.
Lakini masonic sio dini,kwa hiyo pia sio utamaduni bali masonik ni
IDEA,kijerumani wanaita IDEE,masonic ni idea tu ya kufanya jambo kwa
misingi na utaratibu,na hata wanapokutana pamoja na karafa zao wanazoa
ripoti za utendaji kaz na kupeana mikakati ya baaadae,( kwa hiyo sio
dini bali ni idea tu.),
NB,niaminivyo mimi masonic ni kama Idea zingine ama theory tu.sifa
nyingine tunazitoa sisi ambazo hata wao hawana wala
hawajafikiria.,samahan kwa wale nilio wakwaza kwa uzi huu,ni mawazo
yangu binafsi yaweza kuwa niko wrong pia.
Imeandaliwa katika jarida la Free Ideas,
kwa maelezo zaidi,tafuta kitabi changa kinaitwa Free Ideas, cha 2013 july.
0 comments:
Post a Comment