Wednesday, 30 April 2014
Je!! Unamjua Mbwa Mkubwa Zaidi Duniani........muangalie hapa...
Anaaminika kuwa kwenye wanyama wa kubwa aina ya Mbwa basi huyu anawezekana kuwa mbwa mkubwa zaidi. Jina alilopewa na mmiliki wake ni Freddy na anaurefu wa futi 7 na nchi 4.
Mlo wake kwa siku una Kilo 6 anaishi Uingereza.
Related Posts:
BantuTz MAGAZETINI:SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA KURASA ZA MBELE MAGAZETI YA LEO 23 Novemba. BantuTz MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau wote wa Bantu waweze kusoma na kupitia kurasa za magazeti mbalimbali nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma… Read More
Motorola wafanya mapinduzi katika soko la simu ulimwenguni,baada ya kuzindua simu mpya. The Moto X name hasn’t changed in 2014, but rest assured, this updated Android smartphone packs enough new specs to deserve its own Moto X+1 or Moto X2 title. With a larger screen, a better but not perfect camera, surpr… Read More
Instagram yaipiku twitter Mtandao wa kijamii wa Instagram umetangaza rasmi kufikisha watumiaji milioni 300 na hivyo kuipita kwa mbali zaidi mtandao Twitter wenye watumiaji milioni 284. Akiongea kwenye kipindi cha Newsbeats mkurugenz… Read More
Mambo 10 Ya Kushangaza Unayoweza Fanya Ukiwa Google! Google Inc ni moja kati ya kampuni nguli na tajiri sana mtandaoni. Google inapenda sana kucheza na vitu na kubuni mambo mapya kupitia vitu hivyo hasa kiteknolojia. inasemekana pengine ndio kampuni kubwa ya ki… Read More
Hiki ndicho kikombe cha umeme chenye uwezo wa kupima kinywaji unachokunywa. Hivi ni moja ya vitu ambavyo unapokutana navyo, moja kwa moja ni lazama ushangae, hivi unajua kikombe kinaweza kupima aina ya kinyaji unachokunywa? Haya ndiyo maendeleo ya kiteknolojia ambapo unaambiwa hiki … Read More
0 comments:
Post a Comment