Imefahamika
kwamba Shilla msichana wa kibongo aliyeko Rumande huko London/UK kwa
makosa ya kufanya mapenzi in the public kumbe ni By-Sexual
yaani ni msichana anayependa kufanya mapenzi na wanawake wenziwe na
wanaume pia. Habari hizo kutoka huko jela zinasema kwamba msichana huyu
wa kibongo ambaye ameishi huko kwa muda wa Takribani Miaka zaidi ya 10
alianza kujifunza tabia hizo akiwa huko na mpaka kufikia sasa ambapo ni
gwiji kabisa wa vitendo hivyo ambavyo nchini Uganda adhabu yake ni
Kifungo cha maisha. Hatma ya msichana huyo mpaka leo bado kujulikana
lakini inasemekana kuna uwezekano mkubwa wa kurudishwa bongo na Serikali
hiyo. Stay tuned!!
Sunday, 27 April 2014
Unamjua Mtanzania aliyekamatwa akifanya mapenzi hadharani huko London.....
Related Posts:
Alichokijibu Flora Mbasha kwa mashabiki wake #KikaangoniLive EATV.Haya... Mambo ya Flora Mbasha na mashabiki wake # KikaangoniLIVE ya East Africa Television (EATV) ... … Read More
Angelina Jolie na Brad Pitt wafunga ndoa. Wacheza filamu maarufu wa Marekani, Angelina Jolie na Brad Pitt wamefunga ndoa. Sherehe ndogo ya faragha iliyofanyika nchini Ufaransa,imemaliza miaka na mikaka ya tetesi za vyombo vya habari, ikiwa watafunga ndoa au la… Read More
Kilichojiri katika utoaji wa tuzo za VMA 2014. Tuzo za VMA 2014 zimefanyika na nyota wengi walifika kwenye hilo tukio.Orodha ya nyota hao iliongozwa na familia ya Jay Z na Beyonce wakiwa na mtoto wao Blue Ivy,Kelly Rowland,Chris Brown,Solange,Nicki Minaj,JLo,Us… Read More
Justin Beiber na Selena Gomez wahusishwa na wizi wa simu katika mgahawa. Polisi waliitwa katika eneo la mgahawa wa Dave & Buster's ambapo Justin Beiber na "on/off girlfriend" Selena Gomez walionekana na hivyo kuhusishwa na tukio la wizi wa simu. Watumiaji wa mtandao wa Twitter waliandika ku… Read More
50 Cent aongelea suala la Suge Knight kupigwa risasi. Katika siku ya jumapili usiku(24 August 2014) lilitokea tukio kurushiwa risasi mastaa mbalimbali katika maandalizi ya tuzo za VMA na inasemekana mmelengwa alikuwa ni Chriss Brown,huku Nyota mwinginw,Suge Knight alinusurika k… Read More
0 comments:
Post a Comment