Wednesday, 30 April 2014
Diwani wa CCM kata ya Igalula,Tabora afariki dunia..........
Diwani Chama cha Mapinduzi (CCM) kata ya Igalula wilayani Uyui mkoa wa Tabora, Seleman Kapalu amefariki dunia kwa maradhi ya kifua. Taratibu za Mazishi zinaendelea.MUNGU AMLAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.…
Related Posts:
Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 2014/2015. Kama ilikupita hii ndiyo hotuba waweza kuisoma hapa kwani ni jukumu lako kupata habari na kuhabarishwa kila kitakachokuwa kinatufikia kwa wakati na muda muafaka.Bajeti hiiimesomwa na Mheshimiwa Mbunge Saad… Read More
Waganga wa kutibu kwa kutumia ngono na nguo za ndani wakamatwa Temeke Poliso Mkoa wa Temeke, imewakamata vijana wawili wanaodaiwa kujifanya waganga wanaotoa tiba kwa wanawake, ambayo masharti yake ni kushiriki nao ngono bila kinga na kuacha nguo za ndani, ili zifanyiwe dawa zaidi. Ak… Read More
Wenje: Uchumi wa Tanzania unakua kwenye makaratasi na mifuko ya watawala "Amesema ni muhimu mjadala huo wa kitaifa kwakua hali mbaya sana kiuchumi,misamaha ya kodi imekua mikubwa,wakubwahawalipi kodi wakati wauza vitumbua wanalipa kodi,uchumi unakua kwenye mifuko ya watawala.Hivyo tuwe na m… Read More
Malawi waanza chokochoko ndege yao yaonekana Ileje MBUNGE wa Ileje, Aliko Kibona (CCM) ameomba Serikali ieleze juu ya ndege kutoka Malawi, ambayo imekuwa ikitia hofu wananchi wa Ileje, kwa kuzunguka angani kila mara. Mbunge huyo alisimama kutoa hoja hiyo baada ya… Read More
Maajabu yaonekana.Baada ya Soko la Karume Kuungua Hiki ni kitu ambacho kilipatikana mara baada ya moto kuzimwa eneo hilo la soko,Kila mtu ana maswali mengiiiiii bila majibu Je ni kitu gani hicho?au wewe ndugu msomaji unaweza tambua ni kitu gani Hiki? … Read More
0 comments:
Post a Comment