Monday, 28 April 2014
Dereva wa bodaboda anusurika kifo baada ya kugongwa na gari.........
Imetokea leo hii asubuhi maeneo ya manzese baada ya kunusurika kugongwa na gari dogo aina ya Toyota Corrola na chanzo cha ajali hiyo inasemekana kuwa ni uzembe na haraka ya dereva wa bodaboda hiyo aliyekuwa anawahi bila kufuata taa za barabarani..................Nashukuru mdau wa blog hii ya katemimethsela.blogspot.com kutupa habari zinazojiri eneo hilo kwa wakati na muda muafaka
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu katemimugisha@gmail.com au Whatsapp namba +255 785 442 107.
Related Posts:
Wagonjwa wa Akili Hosptali ya Mirembe Watoroka Wagonjwa wa akili katika Hospitali ya Mirembe iliyoko mkoani Dodoma wametoroka katika wodi zao baada ya kutokea mgomo wa wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya Mass inayolinda hospitalini hapo. … Read More
RAIS KIKWETE ASIKIA KILIO CHA ALBINO RAIS Kikwete alisema vitendo vya kinyama ambavyo havitegemewi kufanywa au kutokea katika jamii yoyote iliostarabika, ya watu wanaomwabudu Mungu kujihusisha na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Rais Kikwete ali… Read More
Mtuhumiwa namba moja kwa utapeli wa viwanja akamatwa Dare es salaam Mtu mmoja ambaye anadaiwa kuwa kinara wa utapeli wa viwanja jijini Dar es Salaam (jina linahifadhiwa kwa sasa), leo anatarajiwa kupandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, kujibu… Read More
BantuTz MAGAZETINI:SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO MACHI 3BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa katika ku… Read More
BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO MACHI 1BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa katika ku… Read More
0 comments:
Post a Comment