Mrembo Agness amefunguka kwa mara
nyingine tena na kulalamikia wadau wanaofungua account fake kwenye
social networks na kutapeli watu kwa kutumia jina lake. Mrembo huyo
amepost picha na ujumbe huo hapa juu kupitia akaunti yake ya Instagram yake: Duh ! Kweli watu wanapenda Miteremko .....hizo accounts zote ni Fake kwa jina la Masogange....mmhhh wabongo tujishughulishe................................ Ni katemimethsela.blogspot.com pekee sehemu ambayo unaweza kupata habari mbalimbali zinazowahusu mastaa kwa wakati muafaka bila zengwe.........
Msanii maarufu aibiwa gari marekani....!!
Mwimbaji na muigizaji nyota wa Marekani Miley Cyrus ameibiwa gari na vito vyake vya thamani. Polisi wa mjini Los Angeles wamethibitisha kuwa wizi huo umetokea siku ya Ijumaa nyumbani kwa Miley, San Fernando Valley. Po…Read More
Sintah Amchana Irene Uwoya
Blogger Sintah Amemchana Irene Uwoya baada ya Picha zake za Mahaba kusambaa Akiwa na Kiserengeti Boy cha THT.
Jisomee Alichosema Sintah
"Katika dawati letu hatusemi mengi zaidi ya kusema Irene, Irene, Irene???…Read More
Jux aanzisha tovuti yake rasmi
Msanii
wa Bongo Fleva Jux amezindua rasmi website yake Mei 31, ikiwa ni njia
nzuri ya kuwa karibu na mashabiki wake na kutangaza kazi zake kimataifa.
Website ya Jux itakuwa na mambo tofauti kuhusu ye…Read More
Diamond kufanya ‘kollabo’ na Trey Songz ?
Diamond bado yupo nchini Marekani,hii picha amepiga pamoja
na mmoja wa mwanachama wa kundi la Wasafi ikimwonesha Diamond akiwa na
meneja wa wasanii wakubwa wa Marekani, akiwemo Trey Song, Big Sean,
Este…Read More
0 comments:
Post a Comment