Facebook

Tuesday, 29 April 2014

Binti achezea kichapo kwa wizi wa simu..............


Ni tukio lililotokea usiku wa jana (jumaapili) huko Nyumbani Park mkoani Morogoro, maarufu kama Samaki Samaki... mwanadada aliyedaiwa kuwa ni miongoni mwa wale wadada wanaofanya biashara ya kuuza mwili, ambapo hatukuweza kumtambua jina lake...alijikuta akizalilishwa na njemba baada ya kukwapua simu ya njemba huyo na kuificha kwa nia ya kuiiba.

Dada huyo aliye na sifa zote za mwanamke mwenye heshima zake...lakini huwezi kuamini kama ana tabia za ajabu...kitendo hicho kimewafurahisha watu wengi sana waliokuwepo eneo la tukio kwa kuwa ni fundisho kwa warembo wengine wenye tabia kama za dadashosti huyo.

Related Posts:

  • Vibaka waponea chupuchupu Vijana wawili leo huko Kijitonyama walikuwa kwenye pikipiki aina ya Boxer.Wakampora  dada aliyekuwa akitembea kwa miguu akitoka benki ya Acces Bank walimfatilia nyuma nyuma walipofika maeneo ya Akachube Showrom wakampor… Read More
  • CCM yapanga ‘kuishambulia’ Ukawa Kwa Siku 26 Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaanza ziara ya siku 26 katika Mikoa mitatu ya Tabora, Singida na Manyara kukagua uhai wa chama na maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa baadaye mwaka huu. Ha… Read More
  • Kakobe:Ndoto Mpya inaitesa UKAWA  Kama ilivyo kawaida kwa askofu Kakobe kuota ndoto mbalimbali kuhusu mambo yanayohusu mstakabali wa taifa letu. Askofu Kakobe ameota ndoto nyingine ambayo inawahusu UKAWA na harakati zao za kudai katiba ya wan… Read More
  • Lugola:Serikali ya CCM inaendeshwa kisanii Mbunge machachari wa Mwibara, Alphaxard Kangi Lugola, amedai kuwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambayo yeye ni mbunge wake, inaendeshwa kisanii.Lugola ambaye katika Bunge lililopita aliwaongoza wabunge wenzak… Read More
  • Mwili wa mtu asiyefahamika waokotwa Mto Mzinga  Mwili wa mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake ukielea ndani ya Mto Mzinga maeneo ya Kongowe jijini Dar es Salaam. Mwili wa mtu huyo ulipatikana baada ya wakazi wa eneo hilo kudai kuwa harufu kali ilikuwa… Read More

0 comments:

Post a Comment