Monday, 28 April 2014
Diamond amshushua shabiki huko twitter.....
Kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, makubwa yamkuta follower mmoja wa msanii marufu hapa Tzee Dangote aka Diamond Platnumz, baada ya Diamond kupost picha yake nzuri tu, huku aki-show off tattoo zake, basi ishu ilikuwa ni pale follower huyo alipo muambia Dangote,
“sawa umependeza blo,ila sisi watz hatuchoragi hzo v2″, na Dangote Bila kuchelewesha akamshukia na kumjibu “wamakonde vipi?”,
Hata ukiwa wewe umeandikiwa hivyo hutakuwa na cha kuongezea hapo cause hizo ni tamaduni za watu, tuache wafanye yao
Endelea kutemebelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari mbalimbali kwa wakati muafaka bila zengwe
Related Posts:
Picha za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii! Picha zinazomwonyesha mh. Captain John Komba zenye mapozi tofauti na mabinti tofauti zimeanza kusambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii hapa Tanzania. Kuna picha nyingine nyingi lakini kut… Read More
Mchungaji wa Beyonce afunguka Kuhusu Michepuko ya Jay Z na Beyonce Kuna story zilisambaa baada ya ugomvi kati ya Solange na Jay Z ndani ya lift kuwa ndoa ya Jay Z na Beyonce imejaa vurugu kama uwanja wa vita na kwamba Jay Z anachepuka kivyake huku Beyonce nae akidaiwa kuchepuka na… Read More
Baada ya Nick wa Pili Kusifiwa bungeni,Ney wa Mitego, Shilole, Wema na Aunt Ezekiel wapondwa. Baada ya kuonekana kuwa ukiukwaji wa maadili Tanzania ni miongoni mwa majanga ya kitaifa yanayotakiwa kupigiwa filimbi ya hatari mapema kuokoa kizazi hiki, serikali imenyoosha mkono wake kwa baadhi ya wasanii na wabu… Read More
Ripota aliyemvamia Brad Pitt aelezea alichotaka Kumfanyia! Hivi karibuni ilikuwa zamu ya Brad Pitt kutengeneza vichwa vya habari baada ya kuvamiwa na ripota wa televisheni ya Ukraine wakati akiwa kwenye uzinduzi wa filamu mpya ya mchumba wake Angelina Jolie ya Maleficent. Rip… Read More
Huyu ndiye binti anayedai kubakwa na mume wa Flora Mbasha Huyu Ndio Msichana Ambaye Anahusika na Sakata linaloongelewa sana la Mume wa Flora Mbasha Kumbaka Shemeji yake...Basi huyu Ndio Shemeji Mwenyewe...Ungekuwa wewe ungefanyaje..Tupia comment hapa chini..... … Read More
0 comments:
Post a Comment