Rais
Jacob Zuma wa Afrika Kusini amekuwa akiongoza sherehe za kutimiza miaka
20 ya demokrasi na kumalizika kwa utawala wa ubaguzi wa rangi.
Akihutubia
taifa Rais Zuma alisema Afrika Kusini inaanza kupona vidonda vya
historia ya ukatili na mgawanyiko na taratibu inajenga umoja wa
taifa.Lakini alisema bado kuna kazi ya kukamilisha lengo la kuondosha
umaskini, tofauti za pato na ukosefu wa ajira.Lakini alisema bado kuna
kazi ya kukamilisha lengo la kuondosha umaskini, tofauti za pato na
ukosefu wa ajira. Sherehe hizo zinafanywa kabla ya uchaguzi mkuu ambapo
chama tawala cha ANC kinakabili upinzani dhidi ya uongozi wa nchi tangu
kumalizika kwa utawala wa ubaguzi wa rangi mwaka wa 1994.
Miili yapatikana ziwa Rweru-Burundi.
Miili yapatikana imeelea katika ziwa Rweru Burundi
Burundi imeanzisha uchunguzi baada ya miili ya watu kadhaa kupatikana ikielea katika ziwa la m…Read More
Marekani yalaani vita nchini Libya
Mataifa ya magharibi yalaani kuenea kwa vita nchini Libya
Maafisa nchini Marekani wanasema
Misri na umoja wa falme za kiarabu zilihusika na mashambulio nchini
Libya katika wiki iliyopita kuwale…Read More
Mtoto amuua Mwalimu wake kwa kumpiga risasi Marekani.
Msichana wa miaka tisa nchini Marekani
amemuua kwa kumpiga risasi, kwa bahati
mbaya, mwalimu wake aliyekuwa
akimfundisha jinsi ya kutumia bunduki.
Mwalimu huyo alikuwa akimpa mafunzo
msichana huyo katika kituo cha kupigia ri…Read More
0 comments:
Post a Comment