Yule Polisi Mwanamke Nchini Kenya kwa Jina Linda Amechimbwa mkwara na Bosi wake wa kituo cha Polisi kiambu Kenya Baada ya Picha yake Kusambaa Mitandaoni Akiwa amevaa Kijisketi cha Polisi kinacho mchora Hips na makalio yake kiasi cha kuleta utata kwenye mitandao ya kijamii kwa kusababisha Mjadala usio na Mwisho kila mtu akisifia hips na kalio lake..Vipi we Mwanamme, Trafiki kama huyu akikusimamisha Barabarani ? Najua lazima uchukue Number ya Simu hahahha
Wednesday, 30 April 2014
Askari mwenye hips za kupagawisha Kenya achimbwa mkwara na bosi wake.........
Yule Polisi Mwanamke Nchini Kenya kwa Jina Linda Amechimbwa mkwara na Bosi wake wa kituo cha Polisi kiambu Kenya Baada ya Picha yake Kusambaa Mitandaoni Akiwa amevaa Kijisketi cha Polisi kinacho mchora Hips na makalio yake kiasi cha kuleta utata kwenye mitandao ya kijamii kwa kusababisha Mjadala usio na Mwisho kila mtu akisifia hips na kalio lake..Vipi we Mwanamme, Trafiki kama huyu akikusimamisha Barabarani ? Najua lazima uchukue Number ya Simu hahahha
Related Posts:
Nguruwe mwenye akili,atoroka kuchinjwa. Nguruwe huyu mdogo hakuwa na nia kabisa ya kufika sokoni kwa ajili ya kuuzwa na kuchinjwa na badala yake akaamua kutumia mbinu mbadala kutoroka kutoka kwenye gari iliyokuwa inatembea. Nguruwe huyo alirekodiwa na ka… Read More
Paka mzee zaidi duniani afariki.! Paka aliyekuwa akitambulika rasmi kuwa ndio mzee zaidi duniani kwa sasa, amefariki dunia akiwa na miaka 24. Paka huyo aitwaye Poppy alizaliwa mwezi Februari mwaka 1990, mwezi ambao Nelson Mandela alitoka gerezani-, na al… Read More
Unamjua mwanaume mwenye uume mkubwa zaidi duniani.? Mfuatilie hapa Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 41 sasa katika mahojiano yake na The Huffington alisema kwamba huwa anapata shida sana masecurity anapokua kwenye airport anapotaka kusafiri kwani humsumbua sana. Anasema “ili… Read More
mwanamke ajifungua mjusi.Indonesia. Mwanamke mmoja nchini Indonesia amejifungua mjusi badala ya mtoto. Mwanamke huyo Debi Nubatonis, mwenye umri wa miaka 31, ameanza kupata vitisho kutoka kwa kundi la vijana kutokana na kitendo hicho wakimtuhumu kwa uchawi… Read More
Polisi Polisi wa Ufaransa matatani kwa ubaguzi wa Rangi.! Mzozo wa ubaguzi wa rangi unatokota nchini Ufaransa baada ya picha kupatikana za maafisa wa polisi wazungu wakiwa wamejipaka rangi nyeusi huku wakiiga mienendo ya nyani katika sherehe moja. Mkuu wa polisi wa Ufarans… Read More
0 comments:
Post a Comment