Tuesday, 29 April 2014
Ukawa mambo yapamaba moto watoa ratiba ya maandamano hii hapa.......
Wana jamvi kuna mdau amenirushia ratiba ya ukawa mikutano na maandano nchi nzima kuanzia tarehe april 30-mei 4 kama ifuatavyo; dr slaa,mtatiro na prof safari watakua dodoma na pwani;maalim Seif Shariff Hamad na Mabere Marando watakua mbeya;kabwe zitto na chiku abwao kilimanjaro,tindu lissu na lipumba mwanza,kagera.simiyu;pemba na unguja mbowe,anna komu na habibu mnyaa;tabora- kigoma;jussa na wenje;dar sugu na lema;tanga mdee na machemli;shinyanga;mnyika,shib uda na nassari;singida v-nyerere na opolukwa; taarifa zaidi zitatolewa kadri zitakavyo patikana kupitia njia zote
Related Posts:
Mgawanyo wa Majimbo wamtingisha James Mbatia Vunjo.Moshi. Wagombea udiwani wa Chadema katika kata 16 za Jimbo la Vunjo lililopo mkoani Kilimanjaro, wametangaza kutomuunga mkono mgombea ubunge wa jimbo hilo wa NCCR Mageuzi ambacho ni kati ya vyama vinavyounda Umoja wa Katiba y… Read More
Lowassa aahidi kuweka kipaumbele katika utoaji wa Elimu ya Kilimo.Mgombea urais wa vyama vinavyounda UKAWA Mh Edwad Lowassa amesema akichaguliwa kuwa Rais atahakikisha kuwa kipaumbele cha elimu pia kinatolewa kwa wakulima wafugaji na makundi mengine hatua itakayowawezesha kutekeleza majukum… Read More
Mitambo ya kuzalisha Umeme wa gesi yawashwa rasmi Tanzania.Mkurugenzi mtendaji wa shirika la umeme nchini injinia Felchesmi Mramba amesema jana wamewasha rasmi mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi iliyopo Ubungo jijini Dar es Salaam. … Read More
Ratiba ya kampeni siku ya leo kwa wanaogombea kiti cha Urais :Dr.Magufuli na Mh.Lowassa.BantuZ:-UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2015 ★Lowassa siku ya leo atakuwa akifanya kampeni mkoa wa Kagera maeneo mawili ambayo ni Karagwe na Kyerwa.Kesho Muleba na Bukoba mjini na Jumapili atakuwa Ngara mkoa wa Kagera. ★As… Read More
Dr.Magufuli aahidi kufungua milango ya kiuchumi na kudumisha Aman alipokuwa Kigoma.Chama cha Mapinduzi kupitia mgombea wake John Magufuli katika Serikali ya awamu ya tano iwapo itapewa ridhaa yaa waTanzania imeahidi kuendelea kufungua milango ya kiuchumi kwa mikoa inayopakana na nchi jirani Kigoma ikiwemo h… Read More
0 comments:
Post a Comment