Sunday, 27 April 2014
Rose Ndauka kuolewa hivi karibuni...........
MSANII maarufu wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka amesema kuwa watu wasiwe na wasiwasi kwani kwa mipango ya Mungu atafunga ndoa na mzazi mwenzake Maliki Bandawe hivi karibuni.
“Si muda mrefu mambo yatakuwa mazuri tulikuwa tunaendelea kujuana, nadhani sasa tunafahamiana vizuri hivyo watu wasiwe na shaka, tutafunga ndoa soon,” alisema.
Rose ambaye hivi karibuni alihamasisha zoezi la usafi na kuungwa mkono na wasanii mbalimbali akiwamo Meya wa Ilala Jerry Slaa, alisema watu wasihofu kuhusu ndoa hiyo kwani ipo njiani.
“Hatujui labda kuchelewa kwetu kuna kitu Mungu amekiepusha, siku zote haraka haraka haina Baraka,” alisisitiza Ndauka ambaye amepanga kutembea Tanzania nzima kuwahamasisha wananchi kuzingatia usafi
Related Posts:
Taylor Swift ang'ara tuzo za Billboards.Mwanamuziki nyota Taylor Swift ameshinda tuzo nyingi katika sherehe za tuzo za muziki za BillBoard baada ya kushinda nane kati ya 14 alizoteuliwa kugombea. Miongoni mwa tuzo alizoshinda ni msanii bora wa kike,kanda bora ya vi… Read More
Le Mutuz awaponda waandaaji 'TUZO ZA WATU 2015' kwa upendeleo uliokithiri.Le Mutuz alishindwa kuvumilia baada ya sintofahamu iliyoigubika tasnia ya sanaa nchini ndani ya muda huu mfupi baada ya baadhi ya tuzo hizo kuonekana kwamba zimetolewa kwa upendeleo bila ya kuwapa wasanii waliostahili. Kupiti… Read More
Kim kardashian apata ujauzito. Nyota wa kipindi cha runinga nchini Marekani ambaye ameolewa na msanii kanye West amefichua siri katika kipindi cha keeping up with the Kardashians. Kim Kardashian amefuchua kwamba amefanya ukaguzi wa damu na kubaini kwam… Read More
BantuTz MAGAZETINI:SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO MEI 12 BantuTz MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau wote wa Bantu waweze kusoma na kupitia kurasa za magazeti mbalimbali nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kupata hab… Read More
BantuTz MAGAZETINI:-Soma kilichoandikwa katika kurasa za Magazeti mbalimbali ya leo Jumamosi,Mei 16. MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau wote wa Bantu waweze kusomana kupitia kurasa za magazeti mbalimbali nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kupata hab… Read More
0 comments:
Post a Comment