Unalijua Jengo ghali zaidi duniani ?
Hili ndilo jengo ghali zaidi duniani,linaitwa Marina Bay Sands linalipatikana katika nchi ya Singapore.Ambalo limetumia kiasi cha Dola billion 6.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kuji…Read More
Google kutengeneza magari yanayojiendesha yenyewe
Magari bila Usukani
Kampuni ya Teknologia ya Google imesema itaanza kutengeneza magari yasiyohitaji madereva .
Kampuni hiyo ambayo imejijengea sifa kwa njia ya
kipekee ya utendakazi wake katika sekta ya kiteknolojia…Read More
Wazee wa Uingereza watatizwa na upweke
Maelfu
ya wazee wa UK wapigia simu huduma ya kijamii ya Silver Line angalau
kupata fursa ya kuzungumza kama njia ya kukabiliana na upweke
Huduma za simu iitwayo Silver
line iliyoanzishwa kusaidia wazee wanaokumbwa …Read More
Baba ampa mwanae jina la Yesu, kanisa lakataa
Ndiritu
Njoka ameleta gumzo tena wakati huu sio kukabiliana na Wanawake
wanaowapiga Waume zao bali wakati huu jamaa anataka kanisa na
Presibiteria ya Africa Mashariki-PCEA kumbatiza mwanae wa kiume aliempa
jina la Jes…Read More
0 comments:
Post a Comment