Facebook

Thursday, 24 April 2014

Angalia Katika picha jinsi utakavyokuwa uwanja mpya wa Liverpool......


Picha, Utakavyo Kuwa Uwanja Mpya Wa Liverpool Na Namba Ya Watakao Weza Kuingia Uwanjani

Anfield imekuwa ikisimamia kwenye watu 45,362, tofauti na viwanja vikubwa kama Old Trafford na Emirates Stadium, ila baada ya marekebisho uwanja mpya utawza kupokea watu 58,800 kitu kitakacho fanya uwe na namba 3 kwa ukubwa kwenye viwanja vya Premier League ukiwa umepitwa kidogo na uwanja wa Arsenal.
Liverpool wakiweza kukamilisha mipango yao na kupata kibali basi kazi itaanza mwanzo wa mwaka 2015, na mabadiliko ya Anfield yataonekana kwa mara ya kwanza mwanzo wa mwaka 2016 au kwenye msimu wa ligi wa mwaka 2017.

nomaa 4
nomaa 2 nomaa 3  nomaa 

Endelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari mbalimbali zinazohusiana na michezo kutoka sehemu mbalimbali za dunia

0 comments:

Post a Comment