Thursday, 24 April 2014
Bayern Munich hoi kwa Real Mdrid.................fuatilia hapa.............
Real Madrid imeibuka kifua mbele katika mechi ya kwanza ya nusu ya fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Bayern Munich.
Mchezo huo umechezwa katika Uwanja wa Santiago Bernabéu, Madrid huku bao hilo pekee likiwekwa kimiani na mshambuliaji Karim Benzema dakika ya 19 ya kipindi cha kwanza!
Related Posts:
Cameroon yashinda licha ya kuwa na majeruhi!!! Cameroon yashinda ingawa tatizo la majeraha laongezeka. Nahodha wa Cameroon Samwel Eto’o katika mechi ya kujipima nguvu ambayo The … Read More
Timu Ya Taifa Ya Brazil Wakipimwa Afya Katika Uwanja Wa Granja Comary.... Tukielekea kwenye mashindano ya kombe la dunia kila timu imejiimarisha kwajili ya mashindano haya. Brazil ambao ni wenyeji wa kombe la dunia litakapoanza 12 June 2014. Kama ushaidi wa picha hapo chini unaonyesha kuwa rat… Read More
Je Unajua Jinsi Mipira Inayotumika Kwenye Kombe La Dunia 2014 Inavyotengenezwa.?.. Kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Pakistan imepata mkataba wa Adidas wakutengeneza mipira itakayotumika kwenye kombe la dunia 2014 nchini Brazil. Fahamu “brazuca” Mpira utakao tumika kwenye mechi ya fain… Read More
Washindi wa ligi kuu Tz bara 2013/2014 wakabidhiwa zawadi zao Zawadi na tuzo zimetolewa kwa timu zilizofanya vizuri na wachezaji waliong’ara msimu wa ligi kuu ya Vodacom 2013/2014 na kukabidhiwa zawadi kwa thamani ya pesa na vikombe leo na mdhamini wa ligi hiyo ambae ni Vodaco… Read More
Umeona haya Mazoezi Wanayofanya Timu Ya Taifa Ya Mpira Wa Miguu Ya Japan Mchezaji wa mbele anaonekana kama anafanyia mazoezi ya shindano la mtu mwenye nguvu zaidi duniani, ni zoezi ambalo hutumiwa na wanamichezo wa mashindano ya mtu mwenye nguvu zaidi, Mchezaji hufungwa kamba na kuvuta… Read More
0 comments:
Post a Comment