Saturday, 19 April 2014
Mchezaji wa Ligi kuu Uingerza afariki dunia....unataka kumjua ????? fuatilia hapa!!!..................
Mshambuliaji kijana wa West Ham,Dylan Tombides amefariki leo kwa ugonjwa wa kansa. Kijana huyo wa miaka 20 kutoka Australia alijumuishwa kikosi cha kwanza miaka 2 iliyopita.
Pumzika kwa amani,Tombides.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari za kina na zenye uhakika zaidi
0 comments:
Post a Comment