Watu wengi waliokuwa katika meli hiyo walikuwa wanafunzi waliokuwa katika ziara ya kisiwa kimoja nchini humo
Wazazi, jamaa na marafiki wa wanafunzi waliokuwa katika meli hiyo wanatazama kupitia televisheni picha za meli hiyo ilipozama
Meli ya Korea Kusini iliyokuwa imewabeba zaidi ya abiria mianne ilizama kusini mwa pwani ya nchi hiyo Jumatano asubuhi
Walioshuhudia ajali walisema kuwa walisikia kishindo kikubwa wakati meli hiyo ilipoanza kuzama
0 comments:
Post a Comment