Saturday, 26 April 2014
Ryan Giggs "Nataka timu ya kufunga magoli tu staki Man U ifungwe".......
Kocha wa muda wa Manchester United, Ryan Giggs amesema amejisikia furaha kubwa kupata nafasi ya kuingoza timu hiyo kwa muda uliobaki huku akiahidi mambo mazuri kwa mechi nne zilizosalia.
Akizungumza leo na MUTV, Giggs amesema kuwa ana uhakika mashabiki wa timu ya Manchester United wataona magoli na watapata burudani nzuri.
“ I’ve got to say it’s the proudest moment of my life. I’ve supported Manchester United all my life, it’s been the biggest part of my life since I was 14 when I signed schoolboy forms. I’m proud, happy, a little bit nervous but just like I am as a player I can’t wait for the game on Saturday. Obviously I played under Sir Alex for so long so he was the first person to call because I wanted advice and to know what to expect. Who better to ring? Why wouldn’t I?! I’ve just said to them ‘I trust you and I know what you’re capable of and go out there and show it on Saturday and give the fans something to shout about. Entertain them, score goals, make tackles, play with speed, play with tempo.’alisema Giggs.
Related Posts:
Mtu mweusi aliyebaguliwa na mashabiki wa Chelsea katika treni ataka haki itendeke Mtu aliyezuiliwa kuingia Paris Metro train na mashabiki wa timu ya mpira ya Chelsea kwa sababu ya ubaguzi wa rangi ametaka waadhibiwe. Mtu huyo mwenye miaka 33 anayeitwa Souleymane S aliambia gazeti la Le Parisien: “Hawa wat… Read More
CHELSEA, BAYERN ZABANWA MBAVU ULAYA Hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Mabingwa barani Ulaya UEFA Champions’ League ilianza jana kwa kuzalisha sare mbili katika viwanja viwili tofauti. Katika dimba la Parc des Princes nchini Ufaransa Chelsea ilito… Read More
REAL MADRID ‘YAFANYA KWELI’ UJERUMANI Mwanasoka bora wa FIFA 2014 Cristiano Ronaldo hatimaye leo amepata bao lake la Kwanza baada ya ukame katika takriban michezo mitatu aliyocheza tangu amalize kutumikia adhabu yake. Ronaldo amefunga bao la Kwanza dakika … Read More
DAVID LUIZ AWEKA REKODI YA KUWA MCHEZAJI WA KWANZA KUFUTA 'SPRAY' YA MWAMUZI Beki David Luiz wa PSG jana alitoa kali ya mwaka katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kufuta spray iliyopuliziwa na mwamuzi. Luiz alifanya hivyo wakati mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic akitaka kupiga mkwaju … Read More
BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO FEBRUARI 19BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa katika ku… Read More
0 comments:
Post a Comment