Serikali yatenga zaidi ya Shilingi Bilioni 29 ili kuwawezesha zaidi
ya wajumbe 620 wa bunge maalum la katiba kuketi na kujadili sura 17 za
rasimu ya katiba mpya. Taarifa hii imetolewa na page ya facebook ya Clouds TV.
Sababu za Upinzani Jana kususia kikao cha bunge hizi hapa......
Leo katika kipindi cha Kumepambaz
kinachorushwa hewani na kituo cha Radio cha RADIO ONE STERIO alisikia
Kamanda Aikael Freeman Mbowe akitoa ufafanuzi wa UKAWA kutoka nje ya
bunge maalumu la katiba na kutorudi tena b…Read More
Upinzani Wasusia Kikao Cha Bunge Leo.......Fuatilia Hapa..
Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Rasimu ya Katiba
Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameondoka kwa hasira katika
kikao cha bunge hilo kinachoendelea mjini Dodoma.
Hasira yao inatokana na madai kwamba maoni ya…Read More
0 comments:
Post a Comment