

Wachezaji wa kikosi cha kwanza wa FC Barcelona wakitoa heshima zao za mwisho kwenye jumuiko la kumuombea na kumkumbuka Tito Vilanova hii leo

Familia ya soka duniani kote iko katika simanzi kubwa baada ya kuondokewa na mtu aliyechangia kwa nafasi yake maendelea na changomoto kubwa katika sekta ya mpira wa miguu duniani kote.Daima tutamkumbuka
"MUNGU AMLAZE ROHO YA TITO VILLANOVA MAHALI PEMA PEPONI....AMEN"
0 comments:
Post a Comment